《Sikomi》歌词

[00:00:00] Sikomi - Diamond Platnumz
[00:00:01] Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack
[00:00:20] Wanasemaga mapenzi safari
[00:00:22] Unavyopita ndo jinsi unajongea
[00:00:25] Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea
[00:00:30] Niliposikiaga habari
[00:00:32] Yakisifika nikakesha nangojea
[00:00:35] Akabariki jalali na nikawika muziki nikauotea
[00:00:40] Ile pruuu mpaka macca
[00:00:42] Nikadandiaga bongo movie
[00:00:44] Kumbe mapenzi hayataki haraka
[00:00:47] Ni kama tango natia tu chumyi
[00:00:50] Mwenzenu nikaoza haswa
[00:00:52] Na kujitia kitandani mjuzi
[00:00:54] Eti nataka fukuza paka
[00:00:57] Badala ya mbwa nikafuga mbuzi
[00:00:59] Hhhmmm
[00:01:00] Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki
[00:01:05] Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki
[00:01:10] Moyo ukanambia nasibu sasa mapenzi basi
[00:01:15] Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
[00:01:20] Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi
[00:01:25] Ila nang'ang'ania
[00:01:26] Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine
[00:01:29] Ooh mbona sikomi
[00:01:32] Sikomiii
[00:01:35] Sikomi
[00:01:36] Licha ya mateso haya
[00:01:39] Najiuliza oh sikomiii
[00:01:41] Oh sikomi mbona sikomiii
[00:01:44] Mbona jamani
[00:01:45] Sikomi
[00:01:46] Licha ya mateso haya
[00:01:50] Hhhhmmm
[00:01:51] Aliyonifanyia wa central
[00:01:52] Haki ya mungu siyawezi sema
[00:01:55] Ila nimejifunza kesho nisiwaamini wacheza sinema
[00:02:00] Moyo walinipatia mateso
[00:02:02] Siwezi kumeza siwezi tema
[00:02:05] Ndio maana sikushanga ile ghafla
[00:02:07] Toka ccm kwenda chadema
[00:02:10] Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie
[00:02:15] Nikajitia ukamanda yatakwisha
[00:02:17] Wacha nivumilie
[00:02:20] Kila kiza kikitanda
[00:02:22] Ndo visa machozi me nilie
[00:02:25] Penzi yakatia parapanda
[00:02:27] Kuwaita waje washambulie
[00:02:29] Aah
[00:02:30] Acha na penny we darling
[00:02:33] Nilio muhongaga gari aliponambia ana mimba
[00:02:37] Mwisho wa siku akaichomoa chaliiiii
[00:02:40] Mola akanitunuku zari
[00:02:42] Akanzalia dume na mwali
[00:02:45] Niliyvo mjinga nikacheat aibu mpaka
[00:02:48] Kwa vyombo vya habari
[00:02:50] Moyo unanambia nasibu sasa mapenzi basi
[00:02:55] Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
[00:03:00] Lizer ananiambia simba mapenzi basi
[00:03:05] Ila nang'ang'ania
[00:03:07] Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine
[00:03:10] Ooh mbona sikomi mboooona
[00:03:12] Sikomiii mbona jamani
[00:03:15] Sikomi
[00:03:17] Licha ya mateso haya
[00:03:19] Eh nishafumania oh sikomiii
[00:03:21] Nikafumaniwa mimi sikomi
[00:03:23] Nishagombana na watu sikomiii
[00:03:27] Licha ya mateso haya
[00:03:28] Licha ya mateso haya
您可能还喜欢歌手Diamond Platnumz的歌曲:
随机推荐歌词:
- 在和平年代(伴奏) [谭晶]
- this is to mother you [Sinéad O’Connor]
- Throw the Switch [Stuck Mojo]
- X-Ray Style [Joe Strummer]
- 我是一个兵 [霍勇]
- Knocked me down [堂本光一]
- 缓慢下降 [陈晓楠]
- Piquetes De Hormiga [El Coyote y su Banda Tier]
- Great White Bear [Dear Reader]
- Dale Fuego [Cartel De Santa]
- Entre Tu Amor y Mi Amor [Felipe Pirela]
- Je vole [Weepers Circus&Olivia Rui]
- Nedostaje [Dino Merlin]
- The Blue Bells Of Broadway(Are Ringing Tonight) [Doris Day]
- De Onde Vens [Various Artists]
- 幸福透露淡淡忧伤 [木森[夏毅]]
- Love Me, Love Me [Dean Martin]
- Just Be Good To Green [Christmas Tribute]
- Sangrando(Album Version) [Emilio Santiago]
- 爱走了心碎了 [孙露]
- Overdue Goodbye(Reprise) [Anastacia]
- Hazelton Avenue [Manic Street Preachers]
- Le Tango(Album Version) [Lilicub]
- Thanks For The Memory [Sarah Vaughan]
- 开学季 [追梦么川]
- Everything I’ve Got Belongs To You [Joanie Sommers]
- ジェリービーンズ [ふわふわ]
- Tres Consejos [Trio Tariacuri]
- Love For Sale [Dinah Washington]
- 浪子回头 [莹妹儿]
- Don’t Lie to Me [Chuck Berry]
- The Man I Love [Billie Holiday]
- 只是你不爱 [苗凯]
- Change The World [The Rocker Boys]
- Never Again, Again [Audio Idols]
- Should I Stay or Should I Go? [Done Again]
- 咿呀锁摇(Remix) [泽亦龙]
- 偏偏喜欢你 [依恋]
- Lately(Love, Love, Love)(No Artificial Colours Remix) [Little Giants]
- Carol [Chuck Berry]
- May Each Day [Andy Williams]
- All of Me(Remastered) [Billie Holiday]