《Nikuone》歌词

[00:00:00] Nikuone - Diamond Platnumz
[00:00:00] Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack
[00:00:16] Hhhmm
[00:00:17] Mangapi niliona
[00:00:20] Wala sikujali
[00:00:22] Nikafumba macho
[00:00:25] Hhhmm
[00:00:26] Na tena yaliyonchoma
[00:00:28] Maumivu makali
[00:00:30] Manyanyaso
[00:00:33] Hhhmm
[00:00:34] Si mzima wa nafsi
[00:00:36] Siwezi kudanganya
[00:00:38] Uwepo wako
[00:00:40] Unanifanya nalia
[00:00:43] Fanya urudi basi
[00:00:45] Japo kuntazama
[00:00:47] Oh me mwenzako
[00:00:49] Ukweli naumia
[00:00:51] Kinachiniongeza kizunguzungu
[00:00:53] Hata huniwazi
[00:00:55] Kutwa nakesha nikimuomba mungu
[00:00:57] Wallah simanzi
[00:00:59] Kinachoniongeza mawazo
[00:01:01] Hata huniwazi
[00:01:03] Kutwa nakesha nikilalamika
[00:01:05] Njoo basi nikuone
[00:01:07] Nikuone nikuone
[00:01:09] Nikuone nikuone
[00:01:11] Nikuone nikuone mama
[00:01:14] Ukowapi nikuone
[00:01:15] Nikuone nikuone
[00:01:17] Nikuone japo nipone
[00:01:20] Nikuone niiiikuone
[00:01:21] Ooh na roho yangu inaenda
[00:01:23] Manjegere manjegere manjegere
[00:01:25] Aah roho yangu
[00:01:27] Manjegere manjegere manjegere
[00:01:30] Nimekukumbuka sana ooh
[00:01:31] Manjegere manjegere manjegere
[00:01:34] Mwenzio roho yangu
[00:01:35] Manjegere manjegere manjegere
[00:01:39] Hata silali
[00:01:58] Kutwa nzima nawaza
[00:02:00] Kisa nini darling
[00:02:02] Kama sikukupa raha
[00:02:04] Bado sijajua
[00:02:06] Namaliza naianza
[00:02:08] Nijapo tafakari
[00:02:10] Njoo uniwashie taa
[00:02:12] Kiza kitaniua
[00:02:14] Muda mwingine nakesha tuu macho
[00:02:16] Usingizi sina
[00:02:18] Ikinijiaga tu sura yako
[00:02:21] Huwa nazizizma
[00:02:22] Mpaka nashikwa
[00:02:24] Kigagaziko hata maneno kuyaongea
[00:02:27] Yote sababu ya masikitiko
[00:02:29] Haki ya mungu unanionea
[00:02:31] Kinachiniongeza kizunguzungu
[00:02:33] Hata huniwazi
[00:02:35] Kutwa nakesha nikimuomba mungu
[00:02:37] Wallah simanzi
[00:02:39] Kinachoniongeza mawazo
[00:02:42] Hata huniwazi
[00:02:44] Kutwa nakesha nikilalamika
[00:02:45] Njoo basi nikuone
[00:02:47] Nikuone nikuone
[00:02:50] Nikuone njoo basi nikuone
[00:02:52] Nikuone nikuone mama
[00:02:54] Ukowapi nikuone
[00:02:56] Nikuone nikuone
[00:02:57] Nikuone eeh eeh eh nipone
[00:03:00] Nikuone niiiikuone
[00:03:01] Ooh na roho yangu inaenda
[00:03:03] Manjegere manjegere manjegere
[00:03:06] Aah roho yangu
[00:03:07] Manjegere manjegere manjegere
[00:03:10] Nimekukumbuka sana ooh
[00:03:11] Manjegere manjegere manjegere
[00:03:14] Hhhm me mwenzio roho yangu
[00:03:16] Manjegere manjegere manjegere
[00:03:19] Hata silali
[00:03:37] Niliyoyasikia ya leo
[00:03:38] Makubwa
[00:03:39] Afadhali ya jana
[00:03:40] Makubwa
[00:03:41] Huwaga naona kwa video
[00:03:43] Makubwa
[00:03:43] Aaah ah
[00:03:44] Ni mazito mama
[00:03:46] Niliyoyasikia ya leo
[00:03:47] Makubwa
[00:03:48] Afadhali ya jana
[00:03:49] Makubwa
[00:03:50] Huwaga naona kwa video
[00:03:51] Ooh na roho yangu inaenda
[00:03:53] Manjegere manjegere manjegere
[00:03:56] Aah roho yangu
[00:03:57] Manjegere manjegere manjegere
[00:04:00] Nimekukumbuka sana ooh
[00:04:01] Manjegere manjegere manjegere
[00:04:04] Hhhm me mwenzio roho yangu
[00:04:06] Manjegere manjegere manjegere
[00:04:09] Hata silali
您可能还喜欢歌手Diamond Platnumz的歌曲:
随机推荐歌词:
- 桑吉拉姆 [张勇]
- 开场白(Live) [蔡依林]
- Let Me In [Beatsteaks]
- Snapshot [游戏原声]
- Timing Is Everything [Lights]
- 剩斗士之歌 [曹燕平]
- 未完歌 [阿超]
- 千年等一回(探戈 西部交谊舞曲网) [高胜美]
- 当归 [路飞老湿&苏伈塘]
- Come Mi Vedono Gli Altri [Luigi Tenco]
- Save The Last Dance For Me [Paul Anka]
- Let The Good Times Roll [Shirley & Lee]
- 水墨画 [李小俊]
- Ma Ka Pra [Carabao]
- Albergo A Ore [Gino Paoli]
- It Won’t Seem Like Christmas (without You) [Kids Christmas Songs&Gran]
- The Twelve Days of Christmas [Jolly Old St. Nick Singer]
- Boondocks [Maxdown]
- In These Shoes?(Spot Tv 2002: Wind) [Silver]
- Wee Wee Hours [Chuck Berry]
- 渡红尘(DJ版) [何鹏&乐桐]
- Mera Yaar [Shankar Ehsaan Loy&Javed ]
- 为爱离开 [Miya]
- The Last Leaf [The Cascades]
- We Were Beautiful [Belle and Sebastian]
- Something New(Purple Project Remix) [Andra]
- What’d I Say(Live) [Ray Charles]
- Price Tag(Acoustic Version) [Jessie J]
- Rip It Up [Little Richard]
- 拳谱 [李俊男&柏星]
- 三个梦 [谢玲玲]
- Canadian Sunset [Andy Williams]
- Agnus Dei(Instrumental Version) [The Hit Co.]
- Cuando Nadie Te Quiera [Los Player’s]
- Fragile Ground [Place Vendome]
- Bleeder [Zombie Girl&Sebastian Kom]
- Pistola [La Terrasseta de Preixens]
- In Between [Jibe]
- 爱就像蓝天白云(环绕) [陈丙[男]&MC林泽&异域]
- Boogie Woogie Bugle Boy [The Andrews Sisters]
- 铃声(屁是我放的) [对不起]
- 我很丑,可是我很温柔(Live) [耿斯汉]