《Kosa Langu》歌词

[00:00:00] Kosa Langu - Diamond Platnumz
[00:00:00] Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack
[00:00:47] Ah
[00:00:48] Barua yako uliyotuma kwa ricardo momo nimeisoma
[00:00:52] Ila nimechelewa kuijibu sababu moyoni imenchoma
[00:00:57] Eeh
[00:00:57] Nliyo yategemea
[00:00:58] Tofauti na nlicho kiona
[00:01:02] Hata naandika hii barua
[00:01:04] Huku roho yangu inansonona
[00:01:06] Umesema nichane nguo
[00:01:08] Pia funguo umeirudisha sawa
[00:01:11] Simu niziweke kituo na sio chaguo
[00:01:14] Nikome kabisa sawa
[00:01:15] Umesema hata ile picha nzuri nliyo kukumbatia
[00:01:18] Niichane sawa
[00:01:20] Ila kinachoniumiza
[00:01:23] Mbona moja umesahau
[00:01:25] Kosa langu kosa langu
[00:01:27] Hujaniambia
[00:01:29] Na kuniacha peke yangu
[00:01:31] Ukanikimbia
[00:01:34] Ila mbona kosa langu
[00:01:36] Hujaniambia
[00:01:38] Nami nikabiki peke yangu
[00:01:41] Ukanikimbia
[00:02:02] Aah
[00:02:02] Mbona ukanichimbia kaburi
[00:02:04] Ningari bado mzima
[00:02:07] Niife nizikwe vizuri
[00:02:08] Nipotee kabisa kimya
[00:02:12] Licha ya matendo mazuri
[00:02:13] Kwa upendo na heshima
[00:02:16] Moto ukachochea tanuri
[00:02:18] Ukachoma wangu mtimaa
[00:02:20] Natamani hata ningepata nafasi
[00:02:22] Muda wakati kukutazama
[00:02:25] Unione hata japo sura
[00:02:27] Unitazame macho yangu
[00:02:29] Mwenzako wimbi limenipiga kasi
[00:02:32] Langu jahazi limezama
[00:02:34] Mnyonge mwana sanura
[00:02:37] Wee ndio ulikuwa furaha yangu
[00:02:41] Tatizo hata nkilia wa kunifuta machozi sina
[00:02:45] Sawa na gari lisio na gear
[00:02:48] La kuiforce ipande mlima
[00:02:50] Ndio maana siishi kulalama
[00:02:52] Japo jibu moja tuu
[00:02:54] Linaloniumiza
[00:02:56] Mwenzio bado sijaelewa
[00:02:58] Kosa langu kosa langu kosa langu
[00:03:00] Hujaniambia hujaniambia
[00:03:02] Na kuniacha peke yangu peke yangu
[00:03:05] Ukanikimbia ukaenda
[00:03:07] Ila mbona kosa langu kosa langu
[00:03:09] Hujaniambia hujaniambia bado
[00:03:11] Nami nikabi peke yangu peke yangu
[00:03:14] Ukanikimbia ukaenda ooh
[00:03:36] Oh moyo
[00:03:38] Moyo wangu umevunjika una magongo
[00:03:41] Oh moyo
[00:03:42] Kila sehemu nayoshika kinyamazongo
[00:03:45] Oh moyo
[00:03:47] Hata chozi likifutika linabaki tongo
[00:03:50] Oh moyo
[00:03:51] Najitahidi kulidhika ila nna kinyongo
[00:04:04] Oh moyo
[00:04:06] Moyo wangu umevunjika unaa jamani
[00:04:09] Oh moyo
[00:04:11] Hhhhmm hmm
您可能还喜欢歌手Diamond Platnumz的歌曲:
随机推荐歌词:
- Uncertain Memory [GACKT]
- 烙印 [任宰范]
- 3びきのくま [坂本龍一&大貫妙子]
- 北京的一颗沙 [侯海华]
- Kanya [Anoushka Shankar]
- Like a Stone(Album Version) [Audioslave]
- Please No More [Joe Cocker]
- The Jig Is Up [Jill Sobule]
- Anywhere You Go [David Pack]
- Like A Fool(Album) [robin gibb]
- 好酒伴 [陈文山]
- 禁烟宣言 [風味堂]
- Grim Facts [Alice Cooper]
- Paranoid Like Me (’Tis The Season Of Discontent]) [Cowboy Troy]
- My Yiddishe Momme [Connie Francis]
- Crazy Kids [MC JOE & THE VANILLAS]
- CAN YOU FEEL IT? []
- Clues [Paul Weller]
- こしゃくなTEL. [安全地帯]
- Adrenalin [Ella Endlich]
- 如果你不再爱了(Live) [罗中旭]
- Have You Met Miss Jones [Ella Fitzgerald]
- Forget it [&黄旭]
- Listen To The Ocean [Nina&Frederik]
- 陌寞 [PiA乐团]
- Back Door Man [Howlin’ Wolf]
- Zwei Gitarren [Alexandra]
- 初梦 Ver.B(Ver.B) [初音ミク]
- Madurai Ponnu [Yuvan Shankar Raja]
- 织棉被 [朱明君]
- 醒醒吧 [徐溢]
- you ain’t fly(Explicit) []
- A World of Laughter [Alodex]
- I Think We’re Alone Now(Remix) [Ultimate Dance Remixes]
- Church Bells May Ring [The Willows]
- 最高の片想い [狂战士津]
- It’s so nice to have a man around the house [Dinah Shore]
- Is a Blue Bird Blue [康威-特威提]
- 泪雨红妆(34秒铃声版) [格子兮]
- 万花过尽 [依穆炎]
- 神奇女侠 [郑秀文]