找歌词就来最浮云

《MIPANGO YA MUNGU》歌词

所属专辑: ALINITUA 歌手: Jemmimah Thiong’o 时长: 05:09
MIPANGO YA MUNGU

[00:00:00] MIPANGO YA MUNGU - Jemmimah Thiong'o

[00:00:19] Mipango ya Mungu ni ya ajabu

[00:00:23] Mipango ya Mungu aipangapo

[00:00:28] Hakuna mwanadamu yeyote

[00:00:32] Awezaye kuipangua mipango ya Mungu

[00:00:37] Kila mtu ana riziki yake

[00:00:42] Kila mtu ana baraka zake

[00:00:47] Mafanikio maishani mwetu

[00:00:51] Huenda sambamba na mipango ya Mungu

[00:00:56] Kila mtu ana riziki yake

[00:01:01] Kila mtu ana baraka zake

[00:01:05] Mafanikio maishani mwetu

[00:01:09] Huenda sambamba na mipango ya Mungu

[00:01:15] Mipango ya Mungu ni ya ajabu

[00:01:19] Mipango ya Mungu aipangapo

[00:01:24] Hakuna mwanadamu yeyote

[00:01:28] Awezaye kuipangua mipango ya Mungu

[00:01:34] Mipango ya Mungu ni ya ajabu

[00:01:38] Mipango ya Mungu aipangapo

[00:01:43] Hakuna mwanadamu yeyote

[00:01:47] Awezaye kuipangua mipango ya Mungu

[00:01:53] Kuzaliwa pale sina elimu

[00:01:57] Sijivune Mungu ndiye aliyepanga

[00:02:02] Alipanga upate hivi vyote

[00:02:06] Ili ukaweze kumtukuza kwazo

[00:02:11] Kuzaliwa pale sina elimu

[00:02:16] Sijivune Mungu ndiye aliyepanga

[00:02:21] Alipanga upate hivi vyote

[00:02:25] Ili ukaweze kumtukuza kwazo

[00:02:30] Mipango ya Mungu ni ya ajabu

[00:02:35] Mipango ya Mungu aipangapo

[00:02:39] Hakuna mwanadamu yeyote

[00:02:43] Awezaye kuipangua mipango ya Mungu

[00:02:49] Mipango ya Mungu ni ya ajabu

[00:02:53] Mipango ya Mungu aipangapo

[00:02:58] Hakuna mwanadamu yeyote

[00:03:02] Awezaye kuipangua mipango ya Mungu

[00:03:45] Mipango ya Mungu ni ya ajabu

[00:03:50] Mipango ya Mungu aipangapo

[00:03:54] Hakuna mwanadamu yeyote

[00:03:59] Awezaye kuipangua mipango ya Mungu

[00:04:04] Mipango ya Mungu ni ya ajabu

[00:04:09] Mipango ya Mungu aipangapo

[00:04:13] Hakuna mwanadamu yeyote

[00:04:17] Awezaye kuipangua mipango ya Mungu

[00:04:23] Mipango ya Mungu ni ya ajabu

[00:04:27] Mipango ya Mungu aipangapo

[00:04:32] Hakuna mwanadamu yeyote

[00:04:36] Awezaye kuipangua mipango ya Mungu

[00:04:42] Mipango ya Mungu ni ya ajabu

[00:04:46] Mipango ya Mungu aipangapo

[00:04:51] Hakuna mwanadamu yeyote

[00:04:55] Awezaye kuipangua mipango ya Mungu

您可能还喜欢歌手Jemmimah Thiong’o的歌曲: