找歌词就来最浮云

《MWENYE BARAKA》歌词

所属专辑: ALINITUA 歌手: Jemmimah Thiong’o 时长: 04:25
MWENYE BARAKA

[00:00:00] MWENYE BARAKA - Jemmimah Thiong'o

[00:00:20] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:00:25] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

[00:00:31] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:00:36] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

[00:00:42] Akisema atakubariki wala usitie shaka

[00:00:47] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

[00:00:52] Mipango yake ya ajabu tena haibadiliki

[00:00:57] Akisema atakuinua ndiye mwenye kuinua

[00:01:03] Akisema atakupa mtoto katika umri wowote

[00:01:08] Aliwapa Sara na Ana lipi asiloweza

[00:01:14] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:01:19] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

[00:01:24] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:01:29] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

[00:01:34] Akisema atakubariki watoto wako waelimike

[00:01:40] Wapate na shahada nyingi hakuna atakayezuia

[00:01:45] Akisema utapona hakuna atakayezuia

[00:01:51] Mama aliyetokwa na damu alipona na kaziyake

[00:01:56] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:02:01] Atalinda afya yako maana yeye ndiye mwenye afya

[00:02:07] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:02:12] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

[00:02:17] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:02:23] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

[00:02:28] Watembelea miguu hata baisikeli huna

[00:02:34] Akisema uendeshe Musso kesho utaendesha

[00:02:39] Waishi nyumba ya matope huna hata mavazi

[00:02:44] Akisema atakubariki majirani watashangaa

[00:02:49] Akisema atakuinua mbele ya adui zako

[00:02:55] Atakuandalia meza ule unywe wakitizama

[00:03:00] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:03:05] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

[00:03:11] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:03:16] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

[00:03:32] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:03:37] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

[00:03:43] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:03:48] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

[00:03:54] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:03:59] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

[00:04:04] Akisema atakubariki hakuna atakayezuia

[00:04:10] Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

您可能还喜欢歌手Jemmimah Thiong’o的歌曲: