《Parapanda Ya Bwana》歌词

[00:00:00] Parapanda Ya Bwana - Ambassadors Of Christ Choir
[00:00:19] Parapanda ya bwana ikaribu
[00:00:24] Parapanda karibu kusikika
[00:00:29] Wazima wote wote watasikia
[00:00:34] Na waliokufa wote wafufuke walomsubiri
[00:00:40] Watafikwa taji zinazongaa bali waovu waakimbia uso wake
[00:00:46] Eeeh yesu tutamuona mfalme wetu yesu akirudi
[00:00:57] Tena tutafurahi tupumzike wote tuloshinda nao malaika wapige
[00:01:10] Panda nyingi za ushindi na tutaruka mawinguni tumlaki mfalme wetu
[00:01:36] Watakaokuwa ni washindi watafurahia ajabu na majina yao yataitwa naye
[00:01:52] Yesu mwokozi wao wataruka kwa furaha angani wakiongozwa naye
[00:02:03] Yesu nyimbo tamu zitasikika angani ndugu yangu usikose pale
[00:02:16] Utakuwa wapi siku hiyo ndugu Utakuwa wapi siku hiyo
[00:02:25] Mwokozi yesu atakapoyaita majina ya aliowakomboa
[00:02:35] Walioyafua Katika damu ya yesu wakavumilia hadi kufika mwisho
[00:02:43] Eeeh yesu tutamuona mfalme wetu yesu
[00:02:51] Akirudi tena tutafurahi tupumzike wote tuloshinda
[00:03:04] Nao malaika wapige panda nyingi za ushindi na tutaruka mawinguni
[00:03:18] Tumlaki mfalme wetu eeeeh yesu tutamuona mfalme wetu yesu akirudi
[00:03:32] Rena Tutafurahi tupumzike wote tuloshinda
[00:03:42] Nao malaika wapige Panda nyingi za ushindi
[00:03:52] Na tutaruka mawinguni tamlaki mfalme wetu
[00:04:02] Na tutaruka mawinguni tamlaki mfalme wetu
您可能还喜欢歌手Ambassadors Of Christ Cho的歌曲:
随机推荐歌词:
- 畴尔唱厚(Yellow Butterfly) [Fly To The Sky]
- 聪明的笨男人 [许志安]
- 缘 [董真]
- U-Turn [Usher]
- 凡星相约 [孙羡真]
- Sunny Girlfriend(2007 Remastered Version) [The Monkees]
- 金蛇狂舞(笛子) [轻音乐]
- 革命气节歌 [彭丽媛]
- Summer Fayre [Dodgy]
- The Touch Of Your Lips [Milos Vujovic]
- Vida Hay Que Vivir [Lu]
- Autumn [All the Day Holiday]
- I Love Paris [Etta Jones]
- Eyes Without A Face [Frenk Nelli]
- Half Life [Twin Shadow]
- Les Bergers [Jacques Brel]
- Nan’s Song [The Hit Co.]
- Castle of Glass [Plastic Lines]
- Tu es foutu [Los De La Decada]
- De Onde Vem a Calma [Los Hermanos]
- Butterfly [Andy Williams]
- Cut Across Shorty [Eddie Cochran]
- Autumn to May [&Paul and Mary]
- Unhappy Girl [The Doors]
- The Watermelon Song [Tennessee Ernie Ford]
- Metro [Dr. Mollton&Vimoka]
- 妥协 [韩媛儿]
- Os teus cabelos [Angela Maria]
- Tongue Tied [Our Last Night]
- 抬头月牙弯弯 [MC康泽]
- Falling In Love With You [Frank Sinatra]
- 情 [SEEYA&Brown Eyed Girls]
- Don’t Be On The Outside [Sarah Vaughan]
- おいでシャンプー [乃木坂46]
- Me Habló la Luna [Rosario Mohedano]
- If You Were A Rock And Roll Record [Freddy Cannon]
- Looky, Looky, Yonder [Leadbelly]
- Je m’voyais déjà [Charles Aznavour]
- Palava rakkaus [Leevi and the leavings]
- 未识绮罗香 [千百惠]