《Roho Iradhi》歌词

[00:00:00] Roho I Radhi - Upendo Nkone
[00:00:25] Roho i radhi ila kitu mwili ni dhaifu sana
[00:00:30] Alisema hayo bwana akiwa gethsamane
[00:00:36] Taji ya miiba alivikwa damu nyingi ilitoka
[00:00:41] Hiyo yote ni kwa sababu sisi sote tuokolewe
[00:00:46] Roho i radhi ila kitu mwili ni dhaifu sana
[00:00:52] Alisema hayo bwana akiwa gethsamane
[00:00:57] Taji ya miiba alivikwa damu nyingi ilitoka
[00:01:03] Hiyo yote ni kwa sababu sisi sote tuokolewe
[00:01:09] Mateso makali aliyapata bwana yesu alichomwa mkuki
[00:01:17] Damu na maji alitoka akalia sana eloi eloi eloi
[00:01:25] Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha
[00:01:30] Mateso makali aliyapata bwana yesu alichomwa mkuki
[00:01:38] Damu na maji alitoka akalia sana eloi eloi eloi
[00:01:47] Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha
[00:02:14] Ilipofika saa sita akasema imekwisha kwa huzuni kuu
[00:02:22] Akakata roho
[00:02:25] Yesu alizikwa siku ya tatu kafufuka yuko
[00:02:30] Juu mbinguni kuandaa makao
[00:02:35] Ilipofika saa sita akasema imekwisha kwa huzuni kuu
[00:02:43] Kwa kakata roho
[00:02:46] Yesu alizikwa siku ya tatu kafufuka yuko
[00:02:52] Juu mbinguni kuandaa makao
[00:02:58] Mateso makali aliyapata bwana yesu alichomwa mkuki
[00:03:05] Damu na maji alitoka akalia sana eloi eloi eloi
[00:03:14] Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha
[00:03:19] Mateso makali aliyapata bwana yesu alichomwa mkuki
[00:03:27] Damu na maji alitoka akalia sana eloi eloi eloi
[00:03:36] Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha
[00:04:03] Je na wewe ndugu yangu wapenda kwenda mbinguni
[00:04:08] Uache maovu uche diya mundo
[00:04:14] Atakupokea utakuwa
[00:04:19] Mwana wake leo na milele
[00:04:22] Utaishi naye
[00:04:25] Je na wewe ndugu yangu wapenda kwenda mbinguni
[00:04:30] Uache maovu usiache dhambi
[00:04:33] Urudie mungu atakupokea utakuwa
[00:04:39] Mwana wake leo na milele
[00:04:44] Utaishi naye
[00:04:46] Ohh
[00:04:47] Mateso makali aliyapata bwana yesu alichomwa mkuki
[00:04:55] Damu na maji alitoka akalia sana eloi eloi eloi
[00:05:03] Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha
[00:05:08] Mateso makali aliyapata bwana yesu alichomwa mkuki
[00:05:16] Damu na maji alitoka akalia sana eloi eloi eloi
[00:05:25] Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha
[00:05:30] Mateso makali aliyapata bwana yesu alichomwa mkuki
[00:05:38] Damu na maji alitoka akalia sana eloi eloi eloi
[00:05:47] Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha
[00:05:52] Mateso makali aliyapata bwana yesu alichomwa mkuki
[00:06:00] Damu na maji alitoka akalia sana eloi eloi eloi
[00:06:08] Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha
您可能还喜欢歌手Upendo Knone的歌曲:
随机推荐歌词:
- In the end [Kat DeLuna]
- 不难 [徐佳莹]
- Sugar!! [フジファブリック]
- 粉雪は忘れ薬 [中島みゆき]
- 委屈的爱 [沈芳如]
- ring your bell [Kalafina]
- Livin’ Up Country [Jake Bugg]
- 裸足でSummer [乃木坂46]
- It’s Only Make Believe [康威-特威提]
- Here Comes the Rain Again(Long Version) [Percival]
- Preciuos Lord [Little Richard]
- La Petite Boutique [Edith Piaf]
- Greenbacks [Ray Charles]
- Say Hello(Live)(Live) [Heart]
- 3D [Wizzy Noise]
- 魔鼓 [早教歌曲]
- 3 [Eleven]
- Raise Your Eyebrows in the Air(Like You Just Don’t Care) [Angil and the Hiddentrack]
- A Mansion On The Hill(Single Version) [Hank Williams]
- Saudade Fez Um Samba [Joao Gilberto]
- Red Red Robin [Eydie Gorme]
- Sous Les Draps [Florent Marchet]
- Mississippi Mud [Ray Charles]
- Ta det lngsamt [Syster Sol]
- 放爱一条生路 [孙伯纶]
- Sun Lights Stars [RAM RIDER]
- Happy Clappers(Original Mix) [Boneski]
- 天堂 [罗海英]
- Harmony In My Head [Various Artists]
- I Can’t Take It [影视原声]
- Two Little Birds [Dean Sequeira]
- Vi hnger med [Bo Kaspers Orkester]
- Little Things Mean a Lot [Cliff Richard]
- 拜你所赐(伴奏) [郭晓曼]
- La Hipoteca [Super Spanish Combo]
- Moliendo Cafe [Los Chamarones]
- I’d Rather [Ameritz Tribute Club]
- Abrazame [Tincho y Karen]
- 何必爱的那么烦 [齐雅]
- Sanguine [Yves Montand]
- Big Girls Don’t Cry [The Four Seasons]
- 想你想断肠 [邓丽君]