《CINDERELLA》歌词

[00:00:00] CINDERELLA - Alikiba
[00:00:09] Yeah yeah
[00:00:22] Mara ya mwisho mimi na wewe
[00:00:24] Kuonana kipindi kile twasoma
[00:00:28] Shule ya msingi kigoma
[00:00:31] Yeah yeah
[00:00:33] Najua ulinipenda
[00:00:35] Ila hukutaka penzi kulilinda
[00:00:38] Ungesema mapema
[00:00:41] Iliniuma sana
[00:00:44] Mimi leo niko Dar
[00:00:46] Aliniyenipenda nishamuoa
[00:00:49] Je wataka kumjua jina
[00:00:52] Aitwa Cinderella
[00:00:54] Rudi home wewe
[00:00:57] Rudi nyumbani
[00:01:00] Wasalimie Kigoma
[00:01:03] Waambie nishaoa
[00:01:05] Ulinitesa sana
[00:01:08] Sababu nilikupenda wajua
[00:01:11] Kijijini kwa bibi Kigoma
[00:01:14] Iliniuma sana
[00:01:16] Mimi leo niko Dar
[00:01:19] Aliniyenipenda nishamuoa
[00:01:21] Je wataka kumjua jina
[00:01:24] Aitwa Cinderella
[00:01:27] Rudi home ww
[00:01:29] Rudi nyumbani
[00:01:32] Wasalimie Kigoma
[00:01:35] Waambie nishaoa
[00:01:38] Hakuna ajuae rangi ya kinyonga
[00:01:40] Zaidi ya yeye mwenyewe na muumba
[00:01:43] Nami nakujua wewe huwezi ringa
[00:01:46] Baby baby
[00:01:48] Nakuona u mnyonge sana
[00:01:51] Nami nilikuwa hivyo kule kigoma
[00:01:53] Usilie kwa uchungu bwana
[00:01:57] Imekutachi sana
[00:01:59] Mimi leo niko Dar
[00:02:02] Aliniyenipenda nishamuoa
[00:02:04] Je wataka kumjua jina
[00:02:08] Aitwa Cinderella
[00:02:10] Rudi home wewe
[00:02:12] Rudi nyumbani
[00:02:15] Wasalimie Kigoma
[00:02:19] Waambie nishaoa
[00:02:21] Ulinitesa sana
[00:02:23] Sababu nilikupenda wajua
[00:02:26] Kijijini kwa bibi Kigoma
[00:02:29] Iliniuma sana
[00:02:32] Mimi leo niko Dar
[00:02:34] Aliniyenipenda nishamuoa
[00:02:37] Je wataka kumjua jina
[00:02:40] Aitwa Cinderella
[00:02:42] Rudi home ww
[00:02:45] Rudi nyumbani
[00:02:48] Wasalimie Kigoma
[00:02:51] Waambie nishaoa
[00:02:53] Uliniadi mapenzi ni kweli uliniteka
[00:02:58] Kadri siku zilivyozidi baby
[00:03:01] Ukanitesa
[00:03:03] Mami mara uko bize mami
[00:03:06] Mi mshamba wa mapenzi
[00:03:07] Si ndo wakashare nami
[00:03:08] Kila ninapokuona ninapokuona
[00:03:11] Moyo unazima nakumbuka tu Kigoma
[00:03:14] Nakosa raha mwenyewe si unaniona
[00:03:16] Ila Cinderella kapoza moyo kuchoma
[00:03:20] Mi nachoka haki ya mungu
[00:03:22] Ingawa ni gani kiasi baby najua
[00:03:24] Machungu
[00:03:24] Ningetaka kuwa nawe
[00:03:26] Ningetaka kuwa nawe
[00:03:27] Ningetaka kuishi nawe
[00:03:28] Ila tu mm nimeshabaini
[00:03:30] Yeah
[00:03:31] Hiyo ni true mami true mami
[00:03:33] Nishampata mwingine ambaye
[00:03:35] Anayenifaa
[00:03:36] Yeah
[00:03:36] Ulinitesa sana
[00:03:39] Sababu nilikupenda wajua
[00:03:42] Kijijini kwa bibi Kigoma
[00:03:45] Iliniuma sana
[00:03:47] Mimi leo niko Dar
[00:03:50] Aliniyenipenda nishamuoa
[00:03:52] Je wataka kumjua jina
[00:03:56] Aitwa Cinderella
[00:03:58] Rudi home ww
[00:04:00] Rudi nyumbani
[00:04:03] Wasalimie Kigoma
[00:04:07] Waambie nishaoa
您可能还喜欢歌手Alikiba的歌曲:
随机推荐歌词:
- 遇见天使 [何禹萱]
- 062薛丁山征西 [单田芳]
- Leopardi [Franco Simone]
- I Don’t Regret(LP版) [BarlowGirl]
- Today [Ledisi]
- I Will Find You [Peter Hammill]
- 看你看我 [丁祥威]
- Kiss This(Album Version) [Aaron Tippin]
- Nah Mean [Nas&Damian Marley]
- 爱人就是我 [秦永]
- 去年圣诞 [Wham!]
- 不爱高富帅 [玉面天使]
- 僕達は天使だった(オリジナルカラオケ) [日本群星]
- Don’t Call My Name [Bobby Darin]
- It’s All Over(Album Version) [The Everly Brothers]
- Everybody Raise Your Hands [Flip Capella]
- Smoke Gets In Your Eyes [Dinah Washington]
- Walk the Dinosaur (115 BPM) [Spinning Music Hits]
- Pop Goes the Weasel [Songs For Children]
- My Love And Devotion [Doris Day]
- Anything That’s, Pt. Of You [Billy J. Kramer]
- I’ve Got My Love To Keep Me Warm [Ray Charles Singers]
- キッス~帰り道のラブソング~ [Manga Project]
- 大李人 [李玉飞]
- 朋友 [陈雪婷]
- It Don’t Mean A Thing [小野リサ]
- Give Up the Funk(Tear the Roof Off the Sucker) [Musosis]
- Der lachende Vagabund [Fred Bertelmann]
- Battle Hymn Of The Republic [Odetta]
- 爱的火焰(伴奏) [赖辉]
- (It Starts From The Public’s Anger) [VolumeCnull]
- 21 o’clock(Live) [何家媛]
- Porgy [Nina Simone]
- La Churrasca [Chavela Vargas]
- 这一刻 [张志政]
- Queen of New Orleans [Heavy Rock Band]
- La femme d’Hector [Barbara]
- My Sister [Weiss]
- Single Ladies(Put a Ring On It) [SoundSense]
- Vente Conmigo Gitana [Los Chichos]
- 倍儿爽(Live) [大张伟]
- Sempurnakan Hidupku [Sari Simorangkir]