《Kiatu Kivue》歌词

[00:00:00] Kiatu Kivue - Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO
[00:00:17] Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue
[00:00:22] Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue
[00:00:26] Ulichotoka nacho kwa farao nakwambia
[00:00:30] Pahali hapa ni patakatifu hicho kiatu kivue
[00:00:34] Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue
[00:00:39] Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue
[00:00:43] Ulichotoka nacho kwa farao nakwambia
[00:00:47] Pahali hapa ni patakatifu hicho kiatu
[00:00:51] Musa hicho kiatu Musa hicho kiatu
[00:00:55] Nataka ninene nawe nataka nikutumie
[00:01:00] Nataka nikuinue nataka nikubariki
[00:01:03] Watu wangu waangamia taifa langu la Israeli
[00:01:07] Watu wangu wanasononeka watu wangu wanateseka
[00:01:12] Nataka nikutumie wewe ukaokoe taifa langu we
[00:01:25] Hata leo mungu anena nasi hicho kiatu we
[00:01:30] Kiatu ni dhambi uzifanyazo ninakwambia
[00:01:34] Ukahaba unaoeneza kando kando ni kiatu
[00:01:38] Wivu na masengenyo vimekuja ni kiatu
[00:01:42] Kitakupeleka jehanamu hicho kiatu
[00:01:46] Kitakupeleka motoni wewe hicho kiatu
[00:01:51] Uzinzi unaoeneza wewe ni kiatu
[00:01:55] Uvalie wake wa wenzio magoti we nakwambia
[00:01:59] Utongoza waume wa wenzio ni kiatu we
[00:02:03] Kitakupekea jehanamu hicho kiatu
[00:02:07] Mama hicho kiatu baba hicho kiatu
[00:02:12] Nataka ninene nawe maana ninakupenda
[00:02:16] Nataka ninene nawe ili nikuokoe
[00:02:20] Mimi sitaki uangamie mimi sitaki upotee
[00:02:24] Mimi sitaki uangamie maana mimi ninakujali
[00:02:28] Mimi Mungu ni wa neema mimi mungu ni wa upendo
[00:02:46] Ukitaka Mungu akubariki lazima kiatu kivue
[00:02:50] Ukitaka kuinuliwa wewe ni lazima kivue
[00:02:54] Wivu ulio nao wewe ni lazima
[00:02:58] Hutaki kuona mwenzako mama akiinuliwa wewe
[00:03:03] Hutaki kuona mwenzako akiwa amependeza
[00:03:07] Hutaki kuona mwenzako akiwa yuko smart
[00:03:11] Tabia ulio nayo mama ninakwambia wewe
[00:03:15] Hutaki kuona ndoa ya mwenzako jamani mke na mume wakicheka
[00:03:19] Tabia uliyo nayo baba nakwambia badilika
[00:03:24] Hutaki kuona huduma ya mwenzako jamani likisonga mbele
[00:03:28] Hebu kivue jamani hebu kivue
[00:03:32] Kiatu cha nyumba ndogo kiatu cha ulevi
[00:03:37] Kiatu cha uzinzi kiatu cha masengenyo
[00:03:41] Kivue kivue kivue
[00:03:57] Kivue kiatu kivue kiatu kivue
[00:04:07] Mungu ananena nawe hicho kiatu kivue
[00:04:11] Mungu anena nawe hicho kiatu kivue
[00:04:15] Valia mini waume wa wenzio iwe mwisho
[00:04:19] Kuvalia vitovu waume wa wenzio iwe mwisho
[00:04:23] Kupaka wanja kwa waume wa wenzio iwe mwisho
[00:04:28] Nataka nikupe mumueo nataka nikupe nyumba yako
[00:04:32] Nataka nikuinue nataka nikuinue
[00:04:36] Nataka nikuinue niinue mume wako
[00:04:40] Niinue nyumba yako nimwunue mke wako
[00:04:44] Nikupatia mchumba kiatu cha nyumba ndogo
[00:04:49] Mungu anasema nawewe hicho kiatu
[00:04:53] Ah hicho kiatu kivue
[00:05:19] Hicho kiatu
[00:05:21] Hicho kiatu
您可能还喜欢歌手Anastacia Mukabwa&ROSE MU的歌曲:
随机推荐歌词:
- Prince of Arabia [Toy-Box]
- Fire & Pain [Styles P]
- Down the Wire [Spyro Gyra]
- 金色太阳 [谢小禾]
- 排队 [毕夏]
- I Got A Woman [Carl Perkins]
- Circle of Life [The Broadway Performers]
- He Said [Group 1 Crew&Chris August]
- Naked Blue [Brian the Sun]
- Tutto al suo posto [Gian Pieretti]
- Blue Jeans Blues [Little Feat]
- Love Walked In [Dinah Washington]
- Swing, Brother, Swing [Billie Holiday&Dickie Wel]
- Johnny One Note(Album Version) [Michael Feinstein&Maynard]
- Beat Me Daddy, Eight to the Bar [The Popettes]
- Better off Alone [Thomas David]
- Give Me A Reason To Be Gone [Maureen McGovern]
- Money Honey [The Drifters]
- A Poeira e a Estrada [Maciel Melo]
- Of the Beauty of It All(Live) [Spock’s Beard]
- 凉雨(单曲版) [洛天依&COP]
- Get Together(Album Version) [Indigo Girls]
- Young And Foolish [Paul Anka]
- 站在草原望北京 [肖环]
- 四月云漫,落寞之至 [DJ林浪]
- 第180集_龙虎风云会 [单田芳]
- 别人的情歌(Live) [叶蒨文]
- 你带走了我的心 [罗健雄]
- Sweet Memories(Scott Diaz Flashback Mix) [True2Life&Phillip Ramirez]
- 更加无序 [王鹏]
- 就这样爱 [陶伟]
- Because You Loved Me [The Starlite Orchestra]
- You Were There [Wow Performers]
- That’s My Baby [The Country Music Crew]
- Young and Beautiful(Dance Mix) [Workout Remix Factory]
- The Night They Drove Old Dixie Down [Joan Baez]
- 眉间雪(贤良淑德版) [晴愔]
- Real Bad Gal [Vybz Kartel]
- I Won’t Let You Down [Music Factory]
- Things [Bobby Darin]
- 不朽 [借枪]
- 更好世界 [黄凯芹]