找歌词就来最浮云

《Still the One》歌词

所属专辑: Still the One 歌手: Sauti Sol 时长: 04:26
Still the One

[00:00:00] Still the One - Sauti Sol

[00:00:06] Another one for the ladies sauti sol

[00:00:12] Yeah yeah baby touch me baby

[00:00:22] Tulipokuwa primo ulisema umeninoki nikakuseti kwa odijo

[00:00:33] Tukaingia seco adole zikanipanda nikaku kiss kwenye bus stop yeah

[00:00:43] Tukaingia campo nikasema nakupenda ukasema unasoma

[00:00:55] Na bado na kuona daily looking fly nakufeel even more

[00:01:01] I wonder what I'm gonna do if you ever walk out the door

[00:01:05] Bado we ni yule yule bado nakufeel baby vile vile

[00:01:10] Bado we ni yule yule bado nakufeel baby vile vile

[00:01:15] Ukiwa mbali nakonda sana nikikuona nina pagawa

[00:01:21] Bado we ni yule yule bado nakufeel baby vile vile

[00:01:25] Love is a strong thing strong thing strong thing

[00:01:30] My love is a strong thing strong thing strong thing

[00:01:36] Tukamaliza campo nikaanza kuimba ukapata ka jobo downtown

[00:01:46] Tukapatana tao you were looking very sexy tukawasha ka vodo ukawa tipsy kidogo

[00:01:56] Ukasema unanipenda na huwezi kuniacha tangu zamani ulinipenda ila hukuweza sema

[00:02:07] Ukasema unanipenda na huwezi kuniacha tangu zamani ulinipenda ila hukuweza sema

[00:02:18] Bado nakauona daily looking fly nakufeel even more

[00:02:24] I wonder what I'm gonna do if you ever walk out the door

[00:02:29] Bado we ni yule yule bado nakufeel baby vile vile

[00:02:34] Bado we ni yule yule bado nakufeel baby vile vile

[00:02:39] Ukiwa mbali nakonda sana nikikuona nina pagawa

[00:02:44] Bado we ni yule yule bado nakufeel baby vile vile

[00:02:49] Love is a strong thing strong thing strong thing

[00:02:54] My love is a strong thing strong thing strong thing

[00:02:59] Nikaimba lazizi lazizi wangu we

[00:03:04] Nikaimbia polisi

[00:03:09] Na nikaimba soma soma soma oh yeah

[00:03:15] Na nikasema popote ulipo mi nakuwaza mama

[00:03:20] I'ma I'ma I'ma gentleman

[00:03:25] I'ma I'ma I'ma gentleman

[00:03:31] Na bado nakuona daily looking fly na ku feel even more

[00:03:37] I wonder what I'm gonna do if you ever walk out the door

[00:03:42] Bado we ni yule yule bado nakufeel baby vile vile

[00:03:47] Bado we ni yule yule bado nakufeel baby vile vile

[00:03:52] Ukiwa mbali nakonda sana nikikuona nina pagawa

[00:03:57] Bado we ni yule yule bado nakufeel baby vile vile

[00:04:12] Na sasa uko fifty bado unaka fiti

[00:04:18] Yeah you can gerrit

随机推荐歌词: