《Kwetu Pazuri》歌词

[00:00:00] Kwetu Pazuri - Ambassadors Of Christ Choir
[00:00:22] Ninayo hamu kurudi nyumbani
[00:00:27] Nyumbani kwetu ambako hatutatengana
[00:00:32] Hapo nyumbani kwetu hakuna makaburi
[00:00:37] Wala hakuna vyandarua maana hakuna maralia
[00:00:42] Kwetu ni pazur ni pazur nakuapia
[00:00:47] Najua nawe ndugu yangu unayo hamu kufika huko
[00:00:52] Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[00:00:57] Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[00:01:02] Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[00:01:07] Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
[00:01:12] Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[00:01:17] Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[00:01:22] Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[00:01:27] Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
[00:01:32] Hii dunia imejaa shida kama hujui nenda hospital kaone
[00:01:42] Lakin kwetu hakuna fani ya tabibu
[00:01:47] Watakatifu watachuma majani ya mti wa uzima wawe na afya
[00:01:55] Hawataugua magonjwa tabu tutaziacha zote hapa duniani
[00:02:03] Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[00:02:08] Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[00:02:13] Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[00:02:18] Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
[00:02:23] Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[00:02:28] Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[00:02:33] Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[00:02:38] Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
[00:03:04] Mpendwa njoo turudi nyumbani
[00:03:08] Asubui yaja tuyakimbie ya dunia
[00:03:13] Atayekosa hapo kwel ni hasara
[00:03:18] Aya matatzo ni mitego ya shetan
[00:03:22] Hili tushindwe kufika nyumbani kwetu pazur
[00:03:28] Lakini kwa jina jina la yesu tumeshinda tunaenda
[00:03:34] Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[00:03:39] Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[00:03:44] Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[00:03:49] Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
[00:03:54] Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[00:03:59] Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[00:04:04] Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[00:04:09] Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
[00:04:14] Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
[00:04:19] Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
[00:04:24] Kwa amani na furaha tena ya ajabu
[00:04:29] Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni
您可能还喜欢歌手Christ Ambassadors Choir的歌曲:
随机推荐歌词:
- Billy’s Birthday [Romeo Void]
- B.E.A.Utiful [Jackson Hunt]
- 涙の花 (Duet With Love) [Lyrico]
- 缺陷美 [代悦]
- 听见下雨的声音 [周杰伦]
- Hollywood(2002 Remaster) [Chicago]
- 华胥梦 [洛天依]
- 注定爱你 [Savage Garden]
- Dreamy [Sarah Vaughan]
- A Love Before Time (Featured In Crouching Tiger, Hidden Dragon) [Hit Crew Masters]
- La Huella del Tiempo [Cuatro Gatos]
- Buon Natale [Gene Autry]
- Swing Low, Sweet Chariot [The Pine Tree String Band]
- GO [张韶涵]
- 兄弟情 [阿任]
- You and I [Glenn Miller & His Orches]
- She Knows(Brazil Edit) [Willy G]
- You’re Breaking My Heart [Vic Damone]
- Cho [Truong Quynh Anh]
- One Mint Julep [Ray Charles]
- Nous tous [Franoise Hardy]
- When I Grow Up(A Cappella) [The Beach Boys]
- 狼与美女 (Wolf) [EXO]
- 夜のどこかご~ナト·ンフト~ [中森明菜]
- (Remaster) []
- 新扎师兄 [梁朝伟]
- 我也很想他(伴奏) [梵歌]
- 第023集_言归正传 [单田芳]
- Beyond The Moon(Orbion Uplifting Dub) [A.M.R&Ai Takekawa]
- 西厢房 [许立刚]
- Drug (Streaming Trax) []
- Say Anything [The Bouncing Souls]
- (月亮代表我的心) []
- Phonograph Blues [Robert Johnson]
- Centuries [Urban Madness]
- Waiting For A Train [Jorma Kaukonen]
- Cuban Pete [Louis Armstrong]
- オレタルるート [つゆ]
- Lloraras [Los Terrícolas]
- I’m an Albatraoz(Re Edit) [Líam]
- Water Cycle Song [儿童歌曲]